Cucumis - Free online translation service
. .



Original text - Swahili - Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...

Current statusOriginal text
This text is available in the following languages: SwahiliBrazilian Portuguese

Title
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...
Text to be translated
Submitted by mahyla
Source language: Swahili

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya
Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe nashukrani.
18 June 2008 02:31