Cucumis - Huduma huria ya utafsirishaji mtandaoni
. .



Nakala asilia - Kiswahili - Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...

Hali kwa sasaNakala asilia
Nakala hii inapatikana katika lugha zifuatazo: KiswahiliKireno cha Kibrazili

Kichwa
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...
Nakala ya kutafsiriwa
Tafsiri iliombwa na mahyla
Lugha ya kimaumbile: Kiswahili

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya
Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe nashukrani.
18 Juni 2008 02:31