Cucumis - Service de traduction gratuit en ligne
. .



Texte d'origine - Swahili - Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...

Etat courantTexte d'origine
Ce texte est disponible dans les langues suivantes: SwahiliPortuguais brésilien

Titre
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...
Texte à traduire
Proposé par mahyla
Langue de départ: Swahili

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya
Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe nashukrani.
18 Juin 2008 02:31