Cucumis - خدمة الترجمة المجانية على الخط
. .



نص أصلي - سواحيلي - Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...

حالة جاريةنص أصلي
هذا النص متوفر في اللغات التالية: سواحيليبرتغالية برازيلية

عنوان
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe...
نص للترجمة
إقترحت من طرف mahyla
لغة مصدر: سواحيلي

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya
Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe nashukrani.
18 ايار 2008 02:31